Timu ya Taifa ya Morocco imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kukata tiketi ya kushiriki kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 5-0 dhidi ya Niger.
Morocco itashiriki michuano hiyo kwa mara ya 7 baada ya kufanya hivyowaka 1970, 1986, 1994, 1998, 2018, 2022 na 2026
FT: Morocco 🇲🇦 5-0 🇳🇪 Niger
⚽ 29’ 38’ Saibari
⚽ 51’ El Kaabi
⚽ 69’ Igamane
⚽ 85’ Ounahi
​Â