Makamu wa Rais wa klabu ya Yanga @arafat__ahametangaza bajeti ya klabu kwa msimu wa 2025/26 kuwa ni Shilingi Bilioni 33 za Kitanzania.
MAPATO
• Udhamini na Haki za Matangazo: 11,430,468,874
• Mapato ya Milangoni: 1,971,058,386
• Ada za Uanachama: 10,152,109
• Zawadi za Ushindi: 6,425,950,640
• Mapato Mengine: 500,000,000
JUMLA YA MAPATO: 20,338,588,659
MATUMIZI
• Mishahara na Marupurupu Mengine: 9,637,200,000
• Gharama za Usajili na Uhamisho wa Wachezaji: 7,489,000,000
• Gharama za Maandalizi ya Mechi, Usafiri, Chakula na Malazi: 6,146,514,986
• Motisha kwa Wachezaji na Benchi la Ufundi: 4,031,800,000
• Michango ya Kisheria: 1,261,788,000
• Gharama za Kiutawala: 1,760,875,000
• Gharama za Kambi: 680,897,000
• Gharama za Masoko: 312,670,000
• Gharama za Awali za Ujenzi wa Uwanja: 5,500,000
• Gharama za Kifedha: 866,567,000
JUMLA YA MATUMIZI: 33,692,811,986
BAKAA / PUNGUFU: (12,957,223,327)