MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amesema kuwa “Kwa makocha hawa tutasubiri sana, Huwezi kumfunga Niger nyumbani Tena wakiwa 10 uwanjani unatarajia kumfunga nani?”
“Wachezaji wanaitwa kwa kujuana,Sub hazifanyiki kwa ubora, Upproach ya mechi haina viwango….yani ni shida tupu”
“Mtu atakwambia mbona CHAN tulishinda mechi mbili tatu….mimi nitakwambia tulishinda kutokana na hamasa iliyokuwepo Ila uhalisia bado hatuna timu”
“Tuache Mpira wa hamasa twende nje tukalete kocha wa maana…..mbona wenzetu Uganda wanaweza kuajiri makocha wa viwango?”
Vipi maoni yenu, kocha Hemed Moroco afutwe kazi aletwe kocha mwingine kwaajili ya kuipeleka Stars kwenye nchi ya ahadi?