Klabu ya soka ya Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara imeuzwa kwa Mamlaka ya kukusanya Mapato Tanzania (TRA) na sasa itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB
Klabu hiyo yenye maskani yake Mkoani Tabora, baada ya kuuzwa itahamishwa Jijini Dar es Salaam kuongeza idadi ya timu za Jiji hilo kwenye Ligi Kuu kuwa 5 ikiungana na Simba Sc, Yanga Sc, KMC Fc na JKT Tanzania
Dar es Salaam sasa itakuwa na timu 6. Ligi kuu
Simba
Yanga
Azam FC
KMC
JKT Tanzania
TRA Utd