Marcus Rashford amefunga magoli mawili wakati Barcelona ikiilaza Newcastle United 2-1 katika St. James’ Park huku Erling Haaland akifunga bao lake la 50 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Man City ikiilaza Napoli 2-0
FT: Man City 🏴 2-0 🇮🇹 Napoli
⚽ 56’ Haaland
⚽ 65’ Doku
🟥 21’ Di Lorenzo
FT: Newcastle 🏴 1-2 🇪🇸 Barcelona
⚽ 90’ Gordon
⚽ 58’ Rashford
⚽ 68’ Rashford
FT: Sporting CP 🇵🇹 4-1 🇰🇿 Kairat Almaty
FT: Eintracht Frankfurt 🇩🇪 5-1 🇹🇷 Galatasaray