Pamoja na Dube kufunga bao Ila inabidi kufanyia kazi umaliziaji wake,kwa Muda mrefu sana hii mechi aliifanya kuwa ngumu sana,kipindi cha kwanza alitakiwa kumpa Doumbia assist (3).
Wewe Kama ni mshambuliaji unatakiwa kuwa na utulivu kwenye Box,amini unachokwenda kufanya kitafanikiwa kisha chagua angle,generate power,piga shuti la chini mpira utaukuta kambani….hivi ndivyo ambavyo washambuliaji wakubwa na bora hufanya.
Game ya leo ilikuwa na nafasi kibao Ila kuna mechi nyingine timu itapata nafasi moja au mbili na bao litatakiwa kupatikana….Dube afanyie kazi bidhaa yake ya mwisho✍️