Hii timu ni nzuri sana,fitness level Yao iko juu sana,kikosi chao ni kipana sana kocha ana luxury ya kuanza na yeyote huku benchi akibaki na game changers kibao.
Roman Folz anahitaji dominance,pressing na ulazimishaji…..anapata hicho kiburi coz ana watu wa kufanya kazi kiwanjani.
Hii Yanga inazifanya mechi ngumu kuonekana nyepesi sana…..Siyo kwa bahati mbaya ni uwekezaji mkubwa uliofanyika.
Quality ya Yanga iko juu sana🙌
Hans Rafael