
Wasifu wa Mwanafunzi wa shahada ya sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Shyrose Mahande (21), aliyeuawa kikatili baada ya kutekwa na watu wasiojulikana Mkoa Mbeya.
Video full ipo YouTube ya Global TV
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.