KOCHA WA ZAMANI WA KLABU YA SIMBA DIDIER GOMEZ AFUNGASHIWA VIRAGO AL-KHOR SC
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Didier Gomez amefungashiwa virago kunako klabu ya Al-Khor SC baada ya kuwa na maendelezo mbaya klabuni hapo.
Gomez ameiongoza Al-Khor kwenye michezo (3) pasipo kupata ushindi wowote akiwa ameambulia sare (2) na kipigo (1).
NB: Kama kuna timu haina Kocha kuna Didier Gomez yuko sokoni.







