Afisa Tehama wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Eliamini Msangi akimuelekeza mgonjwa namna ya kuchukua token katika kioski baada ya mgonjwa kufunya miadi ya kumuona daktari kupitia simu janja.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Fiona Kavishe akionesha tovuti yenye mfumo wa kidigitali wa miadi mtandao.
Afisa Tehama wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Eliamini Msangi akifuatilia namna ambavyo ndugu wa mgonjwa aliyelazwa JKCI anavyochukua token katika kioski kabla ya ndugu huyo kuingia kumuona mgonjwa. (Picha na JKCI)