Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Mhe. Jozef Sikela, Kamishna wa Umoja wa Mataifa anayeshughuklikia Ushirikiano (Partnership) usiku kuamkia leo ambapo ameshiriki katika hafla ya “Goalkeepers” Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu wa Spain Mhe. Pedro Sanchez usiku kuamkia leo akatika hafla ya “Goalkeepers” Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Mhe Herbert Fisk Johnso, Mtendaji Mkuu wa kampuni ya S.C. Johnson na mdau usiku kuamkia leo ambapo ameshiriki katika hafla ya “Goalkeepers” Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Bill Gates usiku kuamkia leo ambapo ameshiriki katika hafla ya “Goalkeepers” Jijini New York Marekani, iliyoandaliwa na Taasisi ya Bill Gates na kukutana na wadau mbalimbali.
Hafla hiyo ambayo ilihusu masuala ya afya ya watoto chini ya miaka mitano, ilikutanisha watu mashuhuri kutoka duniani kote.
Hafla hiyo ililenga kuendelea na uhamasishaji wa kuunga mkono uwekezaji katika afya kwa ujumla na maendeleo endelevu.
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Dkt. Patrice Motsepe, Rais wa CAF na Bi. Toyin Ojora-Saraki, Mwanaharakati masuala ya Afya