Kwa muda mrefu nilikuwa ninaishi katika mtaa ambao majirani walikuwa wananiwazia mabaya kila siku. Nilipojenga nyumba yangu na kuanza kufanya biashara ndogo ndogo, ghafla nilianza kuona wivu na husuda zikiongezeka.
Walianza kunisema vibaya, kueneza uvumi kuhusu familia yangu na hata mara kadhaa nilikuta vitu vimeharibiwa kwenye shamba langu. Nilihisi nimezidiwa, kwa sababu kila hatua niliyopiga ilionekana kama inawasha moto zaidi wa chuki……. SOMA ZAIDI