Jonathan Sowah na Rushine De Reuck wamefungua akaunti zao za magoli ndani ya uzi wa Simba Sc wakati Wekundu hao wa Msimbazi wakianza msimu wa Ligi Kuu bara kwa ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Fountain Gate Fc katika dimba la Benjamin Mkapa.
FT: Simba Sc 3-0 Fountain Gate Fc
⚽ 05′ De Reuck
⚽ 36′ Ahoua
⚽ 57′ Sowah