“Doumbia akiwa uwanjani anakupa ubunifu, ufundi, kasi, pressing na akili nyingi, Huyu Jamaa kila akiingia uwanjani Yanga inabadilika sana,anatufanya tuamini Yanga bora lazima iwe na Doumbia”
“Uwepo wake unafungua mashimo mengi kwa washambuliaji wa Yanga….huyu Jamaa ni Creative machine, Na hapo bado hajawa fit kucheza dakika 90”