Itoshe tu kusema huyu bwana mdogo Morice Ibrahim anajua sana boli ni Zaidi ya kipaji hiki
Kwa dakika chache alizopata Leo na Kucheza ameifanya siku yangu iishe vizuri sana wow wow wow what a player 💪👊⚽
Ana utulivu wa hali ya juu sana akiwa ana Mpira
Ana kazi sana na maamuzi ya haraka mno
Ni mzuri kwenye kupiga pasi
Ni mzuri kwenye kufanya mashambulizi na kufanya shambulizi la kushtukiza.
Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira
Ana uwezo mkubwa sana wa kupiga chenga.
Ball fitness ✅
Ball brain 🧠✅
Ball balance ✅
Ball technical ✅
Ball control ✅
Niseme tu hii ni hazina kubwa sana tuliyonayo Wana Simba tuilinde kwa wivu mkubwa ninamtabiria makubwa sana msimu huu ndani ya Simba kama atakuwa anaaminiwa kwa kupewa nafasi Ili aweze kuonyesha ubora wake alionao
Hongera sana bwana mdogo Morice Ibrahim âš½
​Â