“Waamuzi wote ni kutoka Niger na walikuwa njiani kuja nchni. Katikati atakuwa Mohamed Ally Mussa, huku wasaidizi namba moja ni Abubakary Athuman wakati namba mbili ni Abdullah Adal na wa mezani atakuwa ni Moussa Ahmadou.”
-Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba