
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema Kanisa Katoliki halilumbani wala kushindana na serikali.
Ameeleza haya akiongea katika ibada ya Jubilee ya Mapadre Sita, wanaofanya kazi katika jimbo hilo.