Erling Haaland amefunga bao lake la 9 la msimu wa Ligi Kuu England wakati Manchester City ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Brentford katika dimba la Gtech Community
Haaland sasa amehusika kwenye magoli 21 (magoli 18, asisti 3) baada ya mechi 11 za michuano yote akiwa na Manchester City msimu huu.
FT: Brentford 0-1 Man City
⚽ 09’ Haaland