Maswali mbalimbali ya usaili yanayoweza kuulizwa kwa waombaji wa nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu, Maswali haya ni kwa Makarani, wasimamizi wasaidizi na wasimamizi wakuu wa vituo.
Maswali ya usaili kusimamia uchaguzi
- Elezea kwa kifupi lengo la uchaguzi mkuu utakaofanyika 29 october 2025
- Uchaguzi utakaofanyika 29 october 2025 ni uchaguzi wa ngapi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa?
- Ni hatua gani utachukua kuhakikisha wapiga kura wanapata haki sawa na kupiga kura bila upendeleo?
- Elezea wajibu wa wafuatao katika kituo cha kupiga kura.
- Msimamizi wa kituo
- Msimamizi Msaidizi wa kituo
- Karani
- Askari