Dimitar Pantev .”Soka la Afrika nalifahamu sana nimewahi kupita nchi nyengine za Afrika, nimekubali kufanya kazi na Simba sababu ikiwa Simba ni klabu kubwa Afrika na malengo yetu kwasasa ni kufika hatua ya makundi kwenye kombe la Klabu bingwa Afrika
‘Ukizingatia Simba nimekutana nao nikiwa na Gaborone UTD hivyo wachezaji wake nawafahamu.
“Timu nyingi za Afrika zinacheza mpira mmoja za wa Transition lakini mimi nataka tucheza mpira wa tofauti na tuje na kitu chetu kwa wachezaji waliokuwepo naona tunaweza kufanya hivyo.