UPDATE: Kwa 90% Yanga na Romuald Rakotondrabe wamekubaliana kila kitu,kilichobaki ni kocha huyo kusaini mkataba na kutangazwa Jangwani.
Yanga wameweka mezani mkataba wa miaka miwili…..Romuald Rakotondrabe pia anaitaka Yanga.
Ikumbukwe kocha hiyo aliipeleka Madagascar 🇲🇬 Fainali kwenye mi michuano ya CHAN Lakini pia timu yake inashika nafasi ya pili kwenye kufuzu kombele la dunia ,ambapo wako nyuma ya Ghana kwa alama moja.
Balaaa Jipya linakaribia kutua NBC😄🖐️