Ni wakati mwingine wa burudani ya soka duniani kote. Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimeendelea kushika kasi, na kama kawaida, mashabiki na wabashiri wapo kwenye hali ya juu wakisubiri matokeo makubwa. Meridianbet, wamehakikisha hauachwi nyuma. Kila mchezo ni nafasi ya kipekee ya kugeuza ubashiri wako kuwa ushindi wa maana.
Wenyeji Ujerumani wanarudi dimbani wakiwa na ari ya kuendeleza ubabe wao mbele ya Luxembourg. Kumbukumbu ya mwaka 2006 bado ipo hai, pale Ujerumani walipoibuka na ushindi mnene wa mabao 7-0. Safari hii, mashambulizi ya vijana wa Julian Nagelsmann yanatarajiwa kuwa moto wa kuotea mbali. Kwa upande wa beti, ODDS za Ujerumani ni kubwa mno, ni muda wa kuchukua nafasi yako na kufaidika na ubora wa Meridianbet.
Northern Ireland dhidi ya Slovakia ni mapambano ya kileleni kundi A. Wenyeji wanahitaji pointi tatu muhimu ili kujiweka vizuri kwenye msimamo wa kundi, lakini mbele yao kuna Slovakia walio kwenye kiwango cha kuvutia msimu huu. Vijana wa Michael O’Neill wanalazimika kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu ili kusalia kwenye mbio za kufuzu. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000, huku ODDS zikiwa zimenoga.
Ukimaliza na mechi, Meridianbet bado wanakupa nafasi nyingine ya kuongeza kipato. Cheza michezo kama Roulette, Poker, Keno, Superheli na Aviator, yote ikiwa na burudani ya papo kwa papo. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz ujumuike na ulimwengu wa kubashiri unaolipa zaidi kila siku.
Mtanange mkali unatarajiwa kuchezwa kwenye dimba la Strawberry Arena, Sweden dhidi ya Switzerland. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana kwenye Kombe la Dunia 2018, ambapo Sweden walishinda bao 1-0. Safari hii, Switzerland wanarudi kulipiza kisasi. Timu zote zina ubora, lakini faida ya uwanja wa nyumbani ipo kwa Sweden. Kwa ODDS kubwa kutoka Meridianbet, huu ndio mchezo wa kubashiri.
Kosovo wanawakaribisha Slovenia kwenye mchezo muhimu wa kundi B. Timu hizi zimekutana mara mbili mwaka 2020, na zote ziliishia kwa ushindi wa Slovenia. Kosovo wanataka kuandika ukurasa mpya leo, wakiwa na nguvu ya uwanja wa nyumbani. Kwa upande mwingine, Slovenia bado wanatafuta ushindi wa kwanza msimu huu, presha ipo kila upande.
Wenyeji Ufaransa wanakipiga dhidi ya Azerbaijan ndani ya uwanja wa Parc des Princes. Didier Deschamps na vijana wake wanaongoza kundi wakiwa na pointi sita, wakilenga kuendelea na rekodi ya asilimia 100. Azerbaijan wanalazimika kupambana kwa nguvu zote, lakini kazi ipo. ODDS za Meridianbet, zimewapa nafasi ya kushinda Ufaransa.
Katika kundi D, Iceland wanawakaribisha Ukraine kwenye mchezo utakaopigwa Laugardalsvoellur. Iceland wanashikilia nafasi ya pili wakiwa na alama tatu, huku Ukraine wakifuatia nyuma kwa alama moja. Timu zote zinahitaji ushindi ili kufufua matumaini ya kusonga mbele. Meridianbet wamepanga ODDS tamu na machaguo maalum.
The post KUFUZU KOMBE LA DUNIA, MABAO, UBABE NA FURSA YA PESA NDANI YA MERIDIANBET… appeared first on Soka La Bongo.