Yanga Ni Team Kubwa Sana Tena Kubwa Mnoo🔰Kamwe Hawezi Fanya Maamuzi Kwa Kukurupuka kisa Mitandaoni Kukojee Big Noooooo❌
Yanga Iko Imara na Inajua Nini Inafanya Na Nin Kifanyike Sio kufata Mitazamo ya Wachambuzi Wa Plastic Na Waandishi Wa Bahasha.
Folz Kocha Mkuu Wa Young Africans
Ali Kamwe