TAARIFA ZA NDANINDANI
Viongozi wa Yanga wameamua kumbakiza Romain Folz chini ya uangalizi maalum na kumpa muda mfupi kuthibitisha uwezo wake.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa kikosi kikiendelea kusuasua, itakuwa bye bye kwake! 👋
Kwa upande wa Romuald Rakotondrabe, viongozi hawakumpitisha rasmi — hivyo sasa kibarua kiko mikononi mwa Folz, anatazamwa kwa darubini kali!Â
​Â