Wikiendi nyingine yenye ladha ya soka imewadia. Viwanja vinawaka moto huku mataifa makubwa yakisaka nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Wenyeji na wageni wote wako tayari na wewe pia unaweza kushinda kupitia Meridianbet, nyumbani pa ODDS kubwa zaidi na ushindi wa uhakika.
Bulgaria inaingia dimbani ikiwa na jukumu zito. Baada ya kuanza vibaya bila alama yoyote, leo wanakutana na Uturuki walioko mbele yao kwa pointi 3. Hii ni mechi ya uhai kwa wenyeji ambao hawana chaguo zaidi ya ushindi. Meridianbet wameweka ODDS za kuvutia, chukua nafasi yako sasa na weka ubashiri wa maana.
Uhispania dhidi ya Georgia ni moja ya mechi bora ya Kundi E. Ni pambano la majirani kwenye msimamo wa kundi. Uhispania wanaongoza, Georgia wakiwa nyuma kwa pointi 3 pekee. Katika michezo mitano ya mwisho, Georgia hajapata ushindi mbele ya La Roja. Leo kila upande unahitaji pointi tatu muhimu, na ODDS ziko moto.
Mbali na mechi hizi, Meridianbet pia ina michezo ya kasino inayokupatia ushindi wa papo hapo kama Aviator, Poker, Keno, Roulette na Superheli. Cheza, burudika, na shinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote na kupata ushindi mkubwa zaidi.
Baada ya kupoteza dhidi ya Ureno, Hungary inarejea nyumbani kwa matumaini ya kufufua matumaini. Armenia, walioko nafasi ya pili, wanataka kuendeleza mwendo mzuri. Historia inawapa Hungary faida baada ya ushindi wa 2–0 mwaka 2004, lakini leo kila kitu kinaanza upya. Bashiri sasa kupitia Meridianbet ujaribu bahati yako kwenye mechi hii yenye mvutano.
Ureno inaendelea kutamba kileleni mwa kundi ikiwa na tofauti ya pointi 5 dhidi ya Ireland. Wenyeji wanataka kuendeleza rekodi yao ya ushindi nyumbani, huku wageni wakisaka alama za kwanza muhimu. ODDS zimepangwa vizuri, pesa yako unaweka upande gani leo?
Norway imekuwa moto tangu kuanza kwa hatua hii ya kufuzu, ikishinda mechi zote tano na kufikisha pointi 15. Israel wao wapo nafasi ya tatu na wanahitaji ushindi ili kurudi kwenye kinyang’anyiro. Mechi ya mwisho walipokutana Norway ilishinda. Je historia itajirudia? ODDS za Meridianbet zinaelekea upande wa wenyeji.
Italia inasaka ushindi mwingine muhimu dhidi ya Estonia walioko nafasi ya tano. Kwenye mechi ya mwisho, Italia waliibuka na ushindi wa 5–0, lakini leo wenyeji wanataka kuandika ukurasa mpya. Ni mtanange wenye mvuto na nafasi nzuri ya kupata ushindi kupitia Meridianbet.
Serbia na Albania zinatenganishwa na alama moja pekee, ni pambano lenye historia na ushindani mkali hivyo kila moja inahitaji ushindi ili kubaki kwenye mbio za kufuzu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kipekee, ni wakati wa kuamua nani anakupa tiketi ya ushindi leo.
The post NANI KUFUZU KOMBE LA DUNIA, BASHIRI UKIWA NA MERIDIANBET…. appeared first on Soka La Bongo.