Inaweza kuwa ni mapema sana lakini wazungu wana msemo wao ambao husema (grass ain`t always greener on the other side) kwa kiswahili (Sio mara zote nyasi huwa kijani kibichi upande mwingine.
Mohamed Hussein mpaka sasa bado hajawa beki wa kushoto anayeanza kwenye First Eleven, Boka anaendelea kutunza nafasi yake.
Je ni mapema kusema Mohamed Hussein alikosea kwenda Yanga au ni suala la muda atakuwa mchezaji muhimu?