Yanga SC watawatia “Jando” hawa Wamalawi wakija Kwa-Mkapa, hakuna namna ambavyo Yanga wanatolewa na timu ya kawaida kama Silver Stars, zikiwa chache Taifa zitakuwa 3-0. Kitu pekee watakachojivunia na wanachotambia mahasimu wa Yanga, ni ukweli kwamba Yanga wamepoteza mchezo wa kwanza tu. Lakini hii ni michezo ya mtoano, Yanga wanaingia makundi simpo kabisa. AMEANDIKA JEMEDARI SAID.