KWA TAARIFA YENU WANANCHI
Zifuatazo ni mechi ambazo kwa uzito wake uliwalazimu viongozi wa Yanga kutoweka kiingilio ili kuhanikiza hamasa ya mashabiki uwanjani lakini matokeo yake hayakua na faida kwa Wananchi.
Tarehe 6 mwezi mei 2007
Yanga 0-0 El Merreikh (Ccm Kirumba)
Tarehe 8 Mwezi June 2016
Yanga 0-1 Tp Mazembe(Kwa Mkapa)
Tarehe 23 Mwezi Mei 2023
Yanga 1-2 USM(Kwa Mkapa)
Tarehe 30 Mwezi machi 2024.
Yanga 0-0 Mamelodi(Kwa Mkapa)
Yanga inabidi iweke rekodi kwa kuifunga Silver Striker siku ya Jumamosi ili kuibariki hii kampeni ya bure kwa mashabiki kinyume na hapo itabidi waifute huo utaratibu kisayansi!