Ameandika George ambangile “!! Naaam itakuwa ni jambo kubwa, la heshima na la kihistoria endapo Tanzania itapeleka timu zote nne hatua ya Makundi CAF Champions League na Confederation Cup,
Kwasasa tuseme Simba SC na Azam FC tayari wana asilimia 90 kufuzu hatua ya Makundi,
Lakini kwa Young Africans SC na Singida Black Stars wanakazi kubwa ya kufanya kwenye mechi ya marudiano kwani bado wananafasi ndogo kuliko Simba SC na Azam FC hivo makocha hawa wanakazi kubwa ya kufanya,
Wasiwasi wangu kubwa uko kwa Yanga SC kwasababu mechi za maamzi maranyingi anakuwa anaangukia pua tena ndani ya Benjamin Mkapa Stadium









