Nahodha wa kikosi cha Taifa Stars Mbwana Ally Samatta (32), tangu ajiunge na klabu yake mpya ya Le Havre iliyopanda ligi kuu nchini Ufaransa (Ligue 1) msimu uliopita, bado hajafanikiwa kufunga goli wa kutoa asisti.
Samatta amefanikiwa kuanza kikosi cha kwanza katika michezo sita na kuanzia nje mchezo mmoja, akiwa pia amecheza dakia 456.
Klabu ya Le Havre ipo katika nafasi ya 18 kwenye msimamo wa Ligue 1, na katika michezo nane (8),
Wamesare michezo miwili (2) na kufungwa michezo (6) bado hawajapata ushindi wote wa mchezo wa ligi.
Huenda ni mazingira mapya kwa popa, hajazoea keep Push Bro.









