Tangu achukue mikoba ya kuinoa Liverpool, kocha Arne Slot sasa amefikiwa na rekodi ya kusononesha sana ya kupoteza mechi 4 mfululizo kwenye ligi kuu Uingereza.
Mechi hizo ni dhidi ya;
2-1 vs Crystal Palace
2-1 vs Chelsea
1-2 vs Manchester United
3-2 vs Brentford
Kutoka kuwa timu inayotetea Ubingwa hadi sasa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi.





