Ratiba ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL imetoka ambapo miamba ya Tanzania, Simba SC na Yanga SC itaanzia nyumbani Benjamin Mkapa kwenye mechi zao raundi ya kwanza za hatua hiyo inayotarajiwa kuanza kati ya Novemba 21-23, 2025
MECHI YANGA SC MAKUNDI YA CAFCL.
—Yanga SC
vs
AS FAR RABAT (Nov 21-23)
—JS Kablie
vs
Yanga SC (Nov 28-30)
—Al Ahly SC
vs
Yanga SC (Jan 23-25, 2026)
—Yanga SC
vs
Al Ahly SC (Jan 30- Feb 01, 2026)
—AS FAR Rabat
VS
Yanga SC (Feb 6-8, 2026)
—Yanga SC
vs
JS KABYLIE (Feb 13-15,2026)
MECHI ZA SIMBA SC MAKUNDI YA CAFCL
—Simba SC
vs
Athletico Petroleos (Nov 21-23)
—Stade Malien
vs
Simba (Nov 28-30)
—Esperance De Tunis
vs
Simba SC (Jan 23-25,2026)
—Simba SC
vs
Esperance Tunis (Jan 30- Feb 01, 2026)
—Athletico Petroleos
vs
Simba SC (Feb 6-8, 2026)
—Simba SC
vs
Stade Malien (Feb 13-15, 2026)
The post Simba na Yanga Kuanzia Nyumbani Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika appeared first on SOKA TANZANIA.



