Je unajua kuwa ukipiga *149*10# unaweza ukajishindia Samsung A26?. Mechi kibao za kukupatia pesa zipo hapa huku nafasi ya kushinda zawadi hiyo ya simu janja ikiwa nje kabisa.
Katika msimu huu ambapo kila mtu anatafuta fursa ya kupata kitu cha maana kupitia ubashiri, Meridianbet imekuja na zawadi ambayo si tu inatoa msisimko, bali pia inakupa motisha ya kuongeza kipato chako kwa njia ya kishujaa. Kila dau unaloweka linakukaribisha karibu zaidi na simu yako mpya, huku likikupa nafasi ya kufurahia ushindi kutoka kwenye mechi unazozipenda.
Jumatano hii imepewa jina maalumu Jumatano ya Zawadi kwa sababu ni siku ya wewe kukusanya faida, zawadi, na furaha. Hakuna mchoro mgumu, hakuna masharti magumu. Ni rahisi kama kubonyeza simu yako. Huu ndiyo wakati wa kuonyesha ujasiri wako wa kubashiri na kuichukua nafasi ambayo wengine wataisubiri bila mafanikio.
Simu hizo hutolewa kila Jumatano baada ya kufanya droo kubwa kabisa ya kumpata mshindi, huku Meridianbet wakisema kuwa kwenye tiketi ambayo utakuwa umetengeneza lazima ianzie timu 3 na kuendelea ndipo uhesabike upo kwenye washindani.
Piga pesa ya haraka kabisa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Huu ni mwaliko wa kuchangamkia zawadi. Ni wimbo wa ushindi unaowaita wote walio tayari kuweka dau na kuamini safari yao. Hata kama ni ubashiri wa kwanza au wa mia, Jumatano hii inaweza kuwa ya pekee kwako.
Usiache nafasi hii ikupite. Piga *149*10# sasa, weka ubashiri wako, na jiandae kusherehekea ushindi. Meridianbet kila dau lina nafasi, kila mteja ni mshindi mtarajiwa hivyo nafasi ndiyo yako leo hii.
Kumbuka kuwa Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kabisa, hivyo basi kama unataka kushiriki kwenye kuwania Samsung A26 unatakiwa usubiri mechi zako zote zichezwe ndipo uwe umefuzu kwenye promosheni hii.
The post SIMU MPYA INAKUSUBIRI! PIGA *149*10# JUMATANO HII NA UWE MSHINDI!… appeared first on Soka La Bongo.





