Timu za Ligi Kuu ya Uingereza zimetawala timu za LaLiga hadi sasa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Haya ni matokeo ya mechi zilizokutanisha timu za ligi hizo 2 msimu huu wa UEFA;
Athletic Club 0-2 Arsenal
Arsenal 4-0 Atletico Madrid
Liverpool 3-2 Atletico Madrid
Liverpool 1-0 Real Madrid
Chelsea 3-0 Barcelona
Villarreal 0-2 Man City
Tottenham 1-0 Villarreal
Newcastle 2-0 Athletic Club
Newcastle 1-2 Barcelona
Je, hii ni tafsiri rahisi ya kuwa La Liga ni ligi dhaifu kuliko EPL?



