JOSHUA Mutale ni chaguo la kwanza kwa Meneja Mkuu, Dmitar Pantev je ataanza tena mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika?
Orodha ya wachezaji wa Simba SC waliopo kwenye msafara ulioelekea Mali kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien Novemba 30,2025:-
Makipa
Yakoub Suleiman na Hussen Abel
Mabeki
Shomari Kapombe
David Kameta
Anthony Mligo
Karabou Chamou
Rushine De Reuck
Wilson Nangu
Viungo
Yusuph Kagoma
Allasane Kante
Naby Camara
Neo Maema
Morice Abraham
Jean Ahoua
Hussen Semfuko
Ladack Chasambi
Elie Mpanzu
Joshua Mutale
Washambuliaji
Steven Mukwala
Seleman Mwalimu
Jonathan Sowah



