Kwa taarifa ambayo imenifikia hivi punde inasemekana kuwa kiungo mshambuliaji wa YANGA Pacome ameomba kuondoka dirisha hili dogo la usajili linalofunguliwa kuanzia mwezi huu wa 12 Hadi January kwa kile kinachodaiwa kuwa Hana furaha ndani ya klabu hiyo.
Uongozi wa KLABU hiyo kupitia kamati tendaji wanafanya Kila kinalowezekana Ili fundi huyo wa Soka abakie klabuni hapo lakini Hadi sasa inaonyesha jitihada zimegoma mwamba kabisa.
Kama jambo hilo litafanikiwa Basi YANGA wanaweza kuwa wamepata pigo kubwa sana hasa kwenye kwenda kumalizia michezo ya mwisho ya Ligi ya Mabingwa Barani Africa hatua ya makundi inayotarajiwa kuendelea kuanzia Tena mwishoni mwa January mwakani.
The post Pacome Kuondoka Yanga Dirisha Dogo la Usajili appeared first on SOKA TANZANIA.





