Simba na Azam FC ndio klabu zilizotoa wachezaji wengi wanaounda kikosi cha Taifa Stars kitakacho cheza fainali za AFCON 2025 nchini Morocco! Klabu hizo kila moja imetoa wachezaji sita [6].
Yanga inafatia kwa klabu zilizotoa wachezaji wengi wanaounda kikosi cha Stars kitakacho cheza AFCON 2025 ikiwa imetoa wachezaji wanne [4].
Singida Black Stars yenyewe imetoa wachezaji watatu [3] na kukamilisha orodha ya klabu zilizo toa wachezaji zaidi ya mmoja kwenye kikosi cha Taifa Stars kuelekea fainali za AFCON 2025.
The post Simba na Azam Waongoza Kutoa Wachezaji Wengi Timu ya Taifa AFCON appeared first on SOKA TANZANIA.





