Ni siku nyingine ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi 3 huku wewe ukiwania mkwanja wa maana. Ingia kwenye jamvi akaunti yako na ubeti sasa.
Rayo Vallecano atamkaribisha kwake Drita ambao kwenye mechi 4 walizocheza wamefanikiwa kuchukua pointi 8. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 1 pekee huku wakali wa ubashiri Tanzania wakiipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.
Pia naye Shakhtar Donetsk atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Rijeka ambao bado wapo chini kwenye msimamo wa Conference League. Mwenyeji yeye anashika nafasi ya 4 akiwa nyuma pointi 1 kwa kinara wa ligi. ODDS KUBWA zipo ukibashiri mechi hii na Meridianbet.
Tengeneza pesa mechi ya Sparta Prague dhidi ya Aberdeen ambapo timu hizi mbili hazijawahi kukutana kwenye michuano yoyote. Mgeni anahitaji ushindi huu kwa namna yoyote kwani mpaka sasa kwenye mechi nne alizocheza amekusanya pointi 2 pekee. Je mwenyeji atakubali kupoteza akiwa nyumbani?. Beti hapa.
Kutoka kule Ujerumani kutakuwa na mtanange kati ya Mainz 05 dhidi ya Samsunspor ya kule Uturuki ambapo kwenye msimamo woa mpaka sasa wamekusanya pointi 10 wakiwa kama vinara pale kileleni. Mwenyeji yeye pia yupo na pointi 9 hivyo ni mechi ambayo ina uzito wake kabisa. Je nani kuondoka na pointi 3?. Suka jamvi hapa.
Tengeneza pesa na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia Crystal Palace atakuwa mwenyeji wa KuPS ambao mpaka sasa wana pointi 5 kwenye mechi 4 ambazo wamecheza hadi sasa, huku wenyeji wao wakiwa na pointi zao 6. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Unangoja nini sasa leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya kukupatia pesa ni hii ya Dynamo Kyiv vs FC Noah ya kule Armenia huku wenyeji wao wakishiriki ligi kuu ya Ukraine. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye michuano yoyote. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo, huku wewe ndani ya Meridianbet ukibashiri sasa.
Pia kwa upande wa ACF Fiorentina yeye atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Lausanne ya kule Uswizi. Mgeni yeye msimu huu ameanza vibaya kwenye ligi yake Italia huku akiwa anashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Legia Warszawa wao watamenyana dhidi ya Lincolin Red ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kutokana na nafasi walizopo kwenye msimamo wa Conference League. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Unangoja nini sasa kubashiri na Meridianbet?
The post appeared first on Soka La Bongo.







