Meridianbet inatangaza kuanzishwa kwa mpango maalum wa kurejesha sehemu ya hasara kwa wachezaji wanaoshiriki mchezo wa Win&Go. Mpango huu ni sehemu ya jitihada za kampuni kuboresha uzoefu wa wateja wake wa kasino mtandaoni.
Kupitia mpango huu, wachezaji wa meridianbet wanaopata hasara kwenye raundi za Win&Go huandaliwa kurejeshewa asilimia 10 ya kiasi kilichopotea, kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na kwa kiwango cha juu cha kila siku.
Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Win&Go ni miongoni mwa michezo ya kasino inayopatikana ndani ya jukwaa la Meridianbet, ikiwa imeundwa kwa mfumo wa raundi fupi na matokeo ya haraka. Mchezo huu umeundwa kutoa burudani kwa wachezaji wanaopendelea michezo ya bahati nasibu yenye kasi.
Mpango huu mpya unaendana na dhamira ya Meridianbet ya kukuza uchezaji wenye uwajibikaji. Kampuni inaendelea kuweka mifumo na masharti yanayolenga kulinda wachezaji na kuhakikisha matumizi ya huduma yanafanyika kwa uwazi.
Meridianbet inaendelea kuonyesha muelekeo sahihi wa ukuaji wa michezo ya kubashiri nchini na kwa kupitia promosheni hii, inaonyesha ni kwa namna gani wanawajali na kuwathamini wateja wake.
The post REJESHO KWA WACHEZAJI WIN AND GO MERIDIANBET appeared first on Soka La Bongo.






