CHUO cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetenga Shilingi bilioni 2 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya kiteknolojia na kidijitali, hatua inayolenga kubadili mfumo wa utoaji elimu na kuendana na mahitaji ya dunia ya sasa. CHUO cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetenga Shilingi bilioni 2 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya kiteknolojia na kidijitali, hatua inayolenga kubadili mfumo wa utoaji elimu na kuendana na mahitaji ya dunia ya sasa.






