MRADI wa Uwezeshaji Wasichana Balehe kuendelea na Masomo (KAGIS) umesaidia takribani watu 123,489 katika mikoa ya Geita na Kigoma kwa miaka mitano ya utekelezaji. Mradi wa KAGIS umetekelezwa chini ya usimamizi wa Shirika la Plan International pamoja na washirika wake ambao ni RAFIKI SDA na Shirika la WPC kwa ufadhili wa serikali ya Canada. Mkurugenzi






