MSANII wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia zake kuhusu dini ya Kiislamu akieleza kuvutiwa kwake na imani hiyo. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Wolper amesema amekuwa akiguswa na baadhi ya vipengele vya dini ya Kiislamu hususan sauti za adhana, swala na kaswida ambazo humgusa kihisia na kumpa amani ya moyo. MSANII wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia zake kuhusu dini ya Kiislamu akieleza kuvutiwa kwake na imani hiyo. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Wolper amesema amekuwa akiguswa na baadhi ya vipengele vya dini ya Kiislamu hususan sauti za adhana, swala na kaswida ambazo humgusa kihisia na kumpa amani ya moyo.





