MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo ya ushuru wa forodha. MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo ya ushuru wa forodha.






