SONGWE: Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa rai kwa wananchi kujenga utamaduni wa kujitolea damu kwa hiari ili kuokoa maisha ya wajawazito na watoto wachanga wanaohitaji huduma za dharura. DC Mgomi ametoa kauli hiyo wakati akifungua kikao kazi cha siku mbili cha mapitio ya vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto wachanga





