DAR ES SALAAM; IKIWA ni muendelezo wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi wa Ramadhan na Kwaresma inayoitwa Pishi la Kibabe ikiwa ni sehemu pia kurejesha shukrani kwa wateja wao. Akizungumza leo Februari 20,2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi huo Meneja Masoko





