DAR ES SALAAM: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza mkakati wa kukuza ubunifu wa wahandisi wa ndani kwa kuahidi kuzawadia mawazo ya kibunifu yatakayotatua changamoto zilizopo nchini. Akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Fani za Uhandisi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana, Ulega amesema mpango huo utahusu wanafunzi wanaosomea taaluma hizo katika






