IRINGA: MBUNGE wa Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameanza zoezi la kujenga ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo zima la Mufindi Kusini, hatua itakayosaidia kutoa huduma bora kwa wanachama na wananchi. Akizungumza leo katika ziara yake ya mwendelezo katika jimbo lake la Mufindi Kusini, Kihenzile amesema kuwa zoezi hilo






