Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo tarehe 16 Desemba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila wakati alipowasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) leo tarehe 16 Desemba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda (kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Kazi Maalum Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi ya tuzo ya mapambano dhidi ya rushwa kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, maraa baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Vitengo mbalimbali wa TAKUKURU mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) mkoani Arusha leo tarehe 16 Desemba 2024.