RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Unjenzi wa Nyumba 370 zinazojengwa katika eneo la Bumbwini Kidazini Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto kwa Rais ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

(Picha na Ikulu)


