Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea na kampeni yake ya kutoa Elimu ya kodi kwa kupita mlango kwa mlango wa maduka katika mitaa ya Sokoni na Gineri Singida mjini kwa lengo la kuwaelimisha wafanyabiashara umuhimu wa kulipa kodi,kusikiliza changamoto na kupokea maoni yao juu ya masuala ya ulipaji kodi.

02/11/2025
0 Comment
22 Views
ELIMU YA KODI MLANGO KWA MLANGO YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA WA SINGIDA
by 4dmin